Hatua nne rahisi za kuza mtandao wako.
- 1. Fungua AkauntiJisajili kwa namba ya simu na PIN ya tarakimu 6. Hakuna barua pepe wala neno la siri la mtandao wako.
- 2. Ongeza SalioLipa kwa M-Pesa, Airtel Money au Mixx by Yas. Salio lako linaonekana kwenye wallet mara malipo yanapothibitishwa.
- 3. Chagua Huduma na KiasiChagua mtandao, huduma na kiasi unachotaka, kisha weka link au jina lako la mtandao.
- 4. Thibitisha na UfuatilieMalipo yanatolewa kwenye wallet yako, oda yako huanza papo hapo na unaweza kuifuatilia kila hatua.